Mimi Amani Juma Kasinya Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkinga kwa kipindi cha mwaka 2020-2025 nawakaribisha sana katika Tovuti yetu na katika Halmashauri ya Ukarimu lililojaa Historia, Utalii na shughuli mbalimbali za kiuchumi.
Jisikie upo nyumbani kila unapotembelea Halmashauri ya Mkinga.
I Amani Juma Kasinya Chairman of Mkinga District Council for the period of 2020-2025 and I welcome you to our Website and to the Hospitality Council full of History, Tourism and various economic activities.
Feel at home every time you visit Mkinga Council.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017