Lengo kuu la Sera ya Taifa ya Afya (1990) nchini Tanzania ili kuboresha afya na ustawi wa watu wake kwa lengo maalum juu ya makundi ya kijamii katika hatari (chini ya watoto watano, mama katika kuzaa umri, watoto yatima na kadhalika). Ili kufikia serikali hii na washirika wengine ikiwa ni pamoja na watu binafsi na jamii na kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la lengo.
Sekta ya Afya ni mojawapo ya idara katika Halmashauri inayotoa huduma za Afya kwa wananchi wa Wilaya ya Mkinga kwa kupitia vituo vya kutolea huduma za Afya vilivyopo katika kata 22 na vijiji 85.
Sekta hii hapo awali ilikuwa na vituo vya kutolea huduma za Afya 29, katika mwaka wa fedha 2022/2023 imepata ongezeko la Zahanati mpya kumi na nne (14) na Hospitali ya Wilaya 1 na kufanya kuwa na jumla ya idadi ya vituo vya kutolea huduma za 45.
Kati ya hivyo Hopsitali 1, vituo vya Afya ni 3, Zahanati 41 , hata hivyo ujenzi wa hospitali ya Wilaya unaendelea ambapo baadhi ya majengo yamekamilika kama ifuatavyo:- jengo la utawala, Jengo la wagonje (OPD) ,Jengo la Maabara,, Jengo la Stoo ya dawa,Kichomea taka,na Jengo la mionzi. Ujenzi wa majengo mengine unanaendelea. Hata Hivyo huduma za Afya zinategemewa kuanza kutolewa katika Hospitali mwezi Februari 2023.
KAZI NA WAJIBU WA IDARA YA AFYA
Vituo vya kutolea Huduma za Afya
NA |
JINA LA KITUO |
AINA YA KITUO |
UMILIKI |
1 |
Maramba
|
Kituo cha Afya
|
Serikali
|
2 |
Mkinga
|
Kituo cha Afya
|
Serikali
|
3 |
Mjesani
|
Kituo cha Afya
|
Serikali
|
4 |
Vyeru
|
Zahanati
|
Serikali
|
5 |
Mtimbwani
|
Zahanati
|
KKKT & Serikali (PPP)
|
6 |
Kibiboni
|
Zahanati
|
Serikali
|
7 |
Doda
|
Zahanati
|
Serikali
|
8 |
Mwandusi
|
Zahanati
|
Serikali
|
9 |
Magodi
|
Zahanati
|
Serikali
|
10 |
Mkingaleo
|
Zahanati
|
Serikali
|
11 |
Manzabay
|
Zahanati
|
Serikali
|
12 |
Boma
|
Zahanati
|
Serikali
|
13 |
Vuo
|
Zahanati
|
Serikali
|
14 |
Moa
|
Zahanati
|
Serikali
|
15 |
Mayomboni
|
Zahanati
|
Serikali
|
16 |
Duga Maforoni
|
Zahanati
|
Serikali
|
17 |
Duga Sigaya
|
Zahanati
|
Serikali
|
18 |
Kilulu duga
|
Zahanati
|
Serikali
|
19 |
Horohoro Kijijini
|
Zahanati
|
Serikali
|
20 |
Horohoro border
|
Zahanati
|
Serikali
|
21 |
Mwakijembe
|
Zahanati
|
Serikali
|
22 |
Gombero
|
Zahanati
|
Serikali
|
23 |
Mwanyumba
|
Zahanati
|
Serikali
|
24 |
Bamba mavengero
|
Zahanati
|
Serikali
|
25 |
Mhinduro
|
Zahanati
|
Serikali
|
26 |
Kilanga
|
Zahanati
|
Serikali
|
27 |
Magati
|
Zahanati
|
Serikali
|
28 |
Daluni
|
Zahanati
|
Serikali
|
29 |
Kigongoi
|
Zahanati
|
Serikali
|
30 |
Mazola
|
Zahanati
|
Serikali
|
31 |
Kwale
|
Zahanati
|
Serikali
|
32 |
lugongo estate
|
Zahanati
|
Serikali
|
33 |
Segoma
|
Zahanati
|
Serikali
|
34 |
mwakikoya
|
Zahanati
|
Serikali
|
35 |
Bantu
|
Zahanati
|
Serikali
|
36 |
Mwakikonge
|
Zahanati
|
Serikali
|
37 |
Perani
|
Zahanati
|
Serikali
|
38 |
Mavovo
|
Zahanati
|
Serikali
|
39 |
Magaoni
|
Zahanati
|
Serikali
|
40 |
Muzikafishe
|
Zahanati
|
Serikali
|
41 |
Kwekiyu
|
Zahanati
|
Serikali
|
42 |
Mzingo mwagogo
|
Zahanati
|
Serikali
|
43 |
Hemsambia
|
Zahanati
|
Serikali
|
44 |
Kibewani Dispensary
|
Zahanati
|
Serikali
|
45 |
Hospitali ya Wilaya
|
Hospitali
|
Serikali
|
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017