UTANGULIZI
Idara ya Elimu Sekondari ni moja kati ya idara kuu za Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Idara hii ina jumla ya shule za sekondari 43 zikiwemo 39 za serikali na 4 za mashirika na watu binafsi. Idara ina jumla ya walimu 813 wakiwemo wanaume 537 na wanawake 276. Kati ya hao walimu wa sayansi ni 192 na walimu wa sanaa ni 621.Idara ina jumla ya madarasa 363 na majengo ya utawala 14 yenye ofisi 70 za walimu, pia ina nyumba za walimu 100 katika baadhi ya shule zetu.
KAZI ZA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Mkuu wa Idara: Kombo M.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017