Sera ya Taifa ya Maji inakusudia utoaji wa maji safi na salama kwa jamii ndani ya mita 400 kutoka katika makazi yao. Halamashauri ya Wilaya inakadiriwa kuwa jumla ya watu 64,700 sawa wastani wa 54.8 ndiyo wanapata maji safi katika maeneo ya vijijini.
Upatikanaji wa Maji katika Wilaya:-
(I) Pumping Schemes na dizeli watu 3,558 (3.01%)
(Ii) Gravity Schemes 8 hutumiwa na watu 25,196 (21.30%)
(Iii) Pumping Schemes na mashine kutumika na watu 8,296 (7.03%)
(Iv) Visima vifupi vya pumpu za mkono hutumikia na watu 15,512 (13.14%)
(V) Visima Virefu vya pumpu za mkono hutumikia na watu 4,259 (3.61%)
(Vi)Uvunaji wa Maji ya mvua katika maeneo ya Umma
(Vii) Mabwawa na Mito watu 4,000 (3.39%)
(Viii) visima asili hutumika na watu 3879 (3.29%).
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017