Dira ya Halmashauri
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga inataka kuona jamii yenye elimu na maisha bora.
Dhima ya Halmashauri
Dhima ya Wilaya ya Mkinga ni kutoa huduma bora za kiuchumi za kijamii kwa jamii kupitia ufanisi na utumiaji mzuri wa rasilimali na utawala bora kwa kuboresha kiwango cha maisha.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017