Baraza la Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji, Wataalam pamoja na Watumishi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wanapenda kukaribisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga.
KARIBU SANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA.
"TUPO TAYARI KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024"
#Kaziiendelee
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017