mradi upo hatua ya ukamilishaji wa msingi tarehe 22/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya renta tarehe 01/12/2021
mradi upo hatua ya kuweka kenchi pamoja na upigaji wa plasta 05/12/2021
mradi upo hatua ya kuezeka wakiendelea na upigaji plasta 07/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya kufanya blandering kwa ajili ya uwekaji wa gypsum board 10.12.2021
mradi upo kwenye hatua ya usimikaji wa gypsum board 12.12.2021
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017