mradi wa madarasa 2 upo hatua ya upangaji wa mawe kwa ajili ya kumwaga zege/jamvi tarehe 22/11/2021
mradi wa darasa 1 upo hatua ya renta na ofisi yake imeshamwagwa jamvi tarehe 22/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya kufunga beam kwa ajili ya uwekaji wa renta 28/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya boma tarehe 28/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya kenchi tarehe 02/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya usimikaji wa madirisha tarehe 06/12/2021
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017