mradi upo hatua ya upangaji wa mawe kwa ajili ya kumwaga zege/jamvi tarehe 18/11/2021
mradi upo hatua ya ukamilishaji wa beam kwa ajili ya kumwaga zege/jamvi tarehe 22/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya ujenzi wa boma 27/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya renta tarehe 01/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya kenchi tarehe 07/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya uandikaji wa jina la mradi tarehe 27/12/2021
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017