mradi upo hatua ya upangaji wa mawe kwa ajili ya kumwaga zege/jamvi tarehe 18/11/2021
mradi upo hatua ya ufungaji wa beam kwa ajili ya umwagaji wa zege/ jamvi tarehe 21/11/2021
mradi upo hatua ya upandishaji wa boma tarehe 28/11/2021
mradi upo hatua ya ukamilishaji wa boma na tayari kwa kufunga beam kwa ajili ya renta 29/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya ukamilishaji wa boma 28/11/2021
mradi upo kwenye hatua ya boma 29/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya ufungaji beam 01/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya upigaji plasta na ukamilishaji wa kuezeka 07/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya skimming 11/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya skimming kwenye gypsum board 14/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya uwekaji wa sakafu 17/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya upakaji wa rangi tarehe 24/12/2021
mradi upo kwenye hatua ya ufanyaji usafi kwenye madarasa na eneo la mradi tarehe 27/12/2021
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017