• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mkinga District Council
Mkinga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Livestock and Fishary
      • Works and Fire Recure
      • Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ugavi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Legal
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma wa Maji
    • Huduma ya Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Maktaba ya Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Matukio
    • Habari
    • Matukio

Ziara ya Katibu Mkuu TAMISEMI Prof . Riziki Shemdoe Wilaya Mkinga

Posted on: November 17th, 2021

Pichani ni Viongozi wa Wilaya akiwemo Mh. Mkuu wa Wilaya Mkinga Kanali Maulid Hassan Surumbu akipokea maagizo mbali mbali yanayotolewa katika ziara iliyofanywa na Katibu Mkuu TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe Wilaya ya Mkinga amapo amekagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Mkinga pamoja na barabara ya Mkinga leo - Kinyatu hadi Bamba Mwarongo.


akiwa katika daraja la mto Kinyatu lililopo katika Kijiji cha Kinyatu kata ya Mkinga Wilayani humu, amepokea taarifa ya barabara hiyo ambapo mkuu wa wilaya ya Mkinga Kanali Maulidi Hassan Surumbu amesema barabara hiyo ya kimkakati imefungua fursa za kiuchumi kati ya kata ya Gombero Tarafa ya Maramba na Makao makuu ya Wilaya Mkinga.


"Wafanyabiashara wa samaki na dagaa wanapitisha bidhaa zao kwenda tarafa ya maramba pamoja na mazao mbalimbali" alisistiza zaidi.


Aidha Prof. Shemdoe alimuagiza Meneja wa TARURA Wilaya ya Mkinga kujenga Ukuta wa Mawe (gabion) ili kuimarishakingo za daraja hilo ambalo limejekwa kwa Tshs Million 78 fedha za mfuko wa barabara 

"Ni muhimu TARURA kuhakikisha wanapopanga ujenzi wa barabara wazipe kipaumbele barabara za kimkakati ambazo zinaenda maeneo muhimu ya uzalishaji" alisistiza zaidi Prof shemdoe 

Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA October 16, 2023
  • HATI MILIKI ZA ARDHI ZILIZOKAMILIKA WILAYA MKINGA December 04, 2022
  • KUSAFISHA MAENEO KWA WAMILIKI WA VIWANJA MKINGA August 12, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA July 18, 2024
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WITO WATOLEWA KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUPIGA VITA UKATILI WA KIJINSIA, MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA NA ULAWITI (W) MKINGA

    August 21, 2024
  • JAMII YAASWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA HOMA YA NYANI WILAYA YA MKINGA

    August 20, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA SHERIA NDOGO ZA UHIFADHI WA BAHARI (BMU)2024

    August 20, 2024
  • BARAZA LA MADIWANI, MKURUGENZI MTENDAJI, WATAALAM NA WATUMISHI WOTE WANAKUKARIBISHA MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLAH HALMASHAURI YA (W) MKINGA

    August 16, 2024
  • Angalia Zaidi

Video

Angalia zaidi

Kurasa za Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Habari

Kurasa Mashuhuri

  • OR- TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Salary slip portal
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Taifa
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Kasera, Tanga -HorohoroRoad

    Postal Address: P O Box 6005 Tanga

    Simu: +255 027-2660501

    Simu: +255 684 625 299

    Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Huduma

Mkinga dc @ 2017