Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mkinga Bi. Zahara Msangi akitoa Maelekezo maalamu kwa Wanasemina waliokuwa wakipewa mafunzo juu ya utekelezaji wa anuani za Makazi. Mkurugenzi amesisitiza mambo mengi lakini amaewahasa sana walengwa kutumia sana muda vizuri na kuwa waadilifu pindi wnapokua wanajishughulisha na kazi hii ya muda, amewagiza kufanya kazi kwa ufanisi na uweledi mkubwa uku wakizingatia ubora wa kazi.
Kasera , Tanga-Horohoro Road
Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga
Simu: +255 27 2977200
Simu: +255 684625299
Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mkinga DC. All rights reserved.