• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mkinga District Council
Mkinga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Livestock and Fishary
      • Works and Fire Recure
      • Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ugavi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Legal
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma wa Maji
    • Huduma ya Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Maktaba ya Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Matukio
    • Habari
    • Matukio

SHILINGI MILIONI 110 KUMALIZIA UJENZI WA SHULE YA MSINGI BOMA KICHAKAMIBA

Posted on: October 19th, 2022

Pichani Mh. Mkuu wa Wilaya Mkinga Kanali Maulid Hassan Surumbu akiwa kwenye Mkutano na Wananchi wa Kata ya Doda wakati wa Ziara yake ya kikazi yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili Wananchi hao.

Mh. Mkuu wa Wilaya amemuagiza Mkurugenzi wa Halamashauri kupitia kwa Afisa Elimu Msingi Wilaya Bw. Omary Mashaka wa Wilaya hiyo kabla mwaka huu wa 22/23 kuisha kuhakikisha fedha za umaliziaji wa shule hiyoo zinapatikana na madarasa yaweze kumalizika, yote haya yamefanyika ili kuepuka adha wanazokutana nazo wananfunzi hao ambayo ni kusoma kwa kupokezana.

sambamba na ziara hiyo Mkuu wa Wilaya amefanya ukaguzi kwenye ujenzi wa Shule shikizi iliyoko kwenye Kijiji cha Boma ndani inayojengwa na mfadhili ambae ni mmiliki wa hoteli ya kifahali inayojulikana kwa jina la Eagle Fish Point, amemshukuru mfadhili na kutoa maelekezo kwenye mradi huo unaoendelea ikiwa ni pamoja na kumshirikisha Eng. wa Halmashauri ili aweze kutoa maelekezo ya kitaalamu juu ya ujenzi wa majengo ya serikali.

aidha amewataka wananchi wa Kata hiyo kutoa ushirikiano kwa mkandarasi ambae ameanza ujenzi wa barabara hiyo ya Manza - Boma kiwango cha changarawe ili aweze kufanya kazi yake kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu kwani itatusaidia kuepukana na hadha ya barabara iliyotukabili kwa muda mrefu.



Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA October 16, 2023
  • HATI MILIKI ZA ARDHI ZILIZOKAMILIKA WILAYA MKINGA December 04, 2022
  • KUSAFISHA MAENEO KWA WAMILIKI WA VIWANJA MKINGA August 12, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA July 18, 2024
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WITO WATOLEWA KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUPIGA VITA UKATILI WA KIJINSIA, MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA NA ULAWITI (W) MKINGA

    August 21, 2024
  • JAMII YAASWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA HOMA YA NYANI WILAYA YA MKINGA

    August 20, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA SHERIA NDOGO ZA UHIFADHI WA BAHARI (BMU)2024

    August 20, 2024
  • BARAZA LA MADIWANI, MKURUGENZI MTENDAJI, WATAALAM NA WATUMISHI WOTE WANAKUKARIBISHA MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLAH HALMASHAURI YA (W) MKINGA

    August 16, 2024
  • Angalia Zaidi

Video

Angalia zaidi

Kurasa za Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Habari

Kurasa Mashuhuri

  • OR- TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Salary slip portal
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Taifa
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Kasera, Tanga -HorohoroRoad

    Postal Address: P O Box 6005 Tanga

    Simu: +255 027-2660501

    Simu: +255 684 625 299

    Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Huduma

Mkinga dc @ 2017