Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mhe. Amani Juma Kasinya leo Agosti 05, 2024 ameongoza Mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.
Mkutano huo uliohudhuriwa na Wajumbe mbalimbali akiwemo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) ni wa robo ya nne (4) ya mwaka wa fedha 2023/2024 ambao utakuwa kwa siku mbili leo na kesho siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
#Kaziiendelee
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017