Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Ndugu Rashid Karim Gembe akiwa katika Banda la Halmashauri hiyo mkoani Morogoro katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu Nane Nane Agosti 03, 2023.
Picha zingine ni Matukio mbali mbali ya wageni wanaotembelea banda hilo kwa ajili ya kupata Elimu kuhusu Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
KARIBU KWENYE MAONESHO YA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI MAARUFU NANE NANE KANDA YA MASHARIKI MKOANI MOROGORO: BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA
Tupo hapa kuanzia Agosti 01 hadi 08,
2024.
Kauli Mbiu; "CHAGUA VIONGOZI BORA WA SERIKALI ZA MITAA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI"
#Kaziiendelee
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017