Pichani ni Washiriki wa Mafunzo yaliyotolewa leo na Mganga Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Team ya CHMT Wilaya ya Mkinga.
Mafunzo haya ya Utambuzi na Utoaji taarifa wa Matukio Hasi kufuatia chanjo (Adverse event following Immunization) yametolewa leo na Mganga Mkuu wa Wilaya Dr. Josseph Ligoha kwa kushirikiana na Team nzima ya CHMT kwa Wafawidhi, Wafamasia na Watoa huduma za Afya kutoka katika Vitou vyote vya kutolea Huduma za Afya Wilayani Mkinga lengo likiwa ni kuwajengea uwezo na utambuzi wa maudhi yatokanayo na chanjo, sambamba na namna ya kuripoti matatizo hayo
Mafunzo haya yamedhaminiwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA)
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017