Zoezi la uandikishaji,mafunzo kwa watakao andikisha wananchi .
Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wa,ee na watoto kwa kushirikiana na Halmashhauri ya wilaya mkinga imeendeaha mafunzo ya siku 4 ya uelimishaji kwa wawezeshaji juu ya kuandikisha wanakata watakaopatiwa vyandarua kwa ajili ya kujikinga na malaria.
Kasera , Tanga-Horohoro Road
Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga
Simu: +255 27 2977200
Simu: +255 684625299
Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mkinga DC. All rights reserved.