Pichani ni wajumbe wa kamati ya Anuani za Makazi Wilaya Mkinga na aliesimama ni Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bi. Zahara Msangi akifungua mafunzo ya mfumo wa Anuani za Makazi, hii ni kuwajengea uwezo Wah. Madiwani waweze kuelewa juu ya zoezi zima la uwekaji wa anuani kwenye maeneo ya makazi yaliyoko ndani ya kata zao.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017