Pichani ni timu ya Madaktari ikiongozwa na Mganga Mkuu wa Wilaya Dr. Joseph Ligoha,
wakijiandaa kwa ajili ya kufanyia upasuaji mama mjamzito wa Kwanza tangu kuanzishwa kwa Huduma hiyo Kituoni hapo Aidha Mganga kuu pamoja na Jopo la Madactari kutoka kituoni hapo wamefanikisha Kufanya Oparesheni hiyo salama salmini mama na mtoto wanaendelea salama.
Sambamba na Uzinduzi huo Mganga Mkuu amewatoa shaka Wananchi kuwa huduma hiyo itaendelea kutolewa kituoni hapo muda wowote hivyo ni vema wakaja na kupatiwa huduma hiyo
aidha Dactari Ligoha amesema Huduma hii itasaidia wananchi wengi kutokuangaika na hadha ya umbali wa Kufata Huduma hiyo sehemu nyingine.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017