Pichani ni baadhi ya wadau mbalimbali wa Elimu ndani ya Halmashauri ya Wilaya Mkinga katika kikao cha pamoja na Mh. Mkuu wa Wilaya Ndg. Yona Maki akiwa sambamba na Mwenyekiti wa Halmashauri Ndg Endrew Ngoda pamoja na makamu wake Vilevile Mkurugenzi wa Halmashauri nae alihudhuria Ndg Rashid Gembe Viongozi wengine ni pamoja na Afisa Elimu Msingi Mwl. Zakayo Mlenduka na Mwl Omari Kombo huyu ni Afisa Elimu Sekondari.
Kikao kilihusisha wadau mbali mbali wa Elimu lengo likiwa ni kuinua kiwango cha Elimu Ndani ya Halmashauri na pia kutatua changamoto mbalimbali ambazo zinaikabili sekta ya Elimu ndani ya Wilaya
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 755 443 326
Simu: +255 755 443 326
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017