KARIBU KWENYE MAONESHO YA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI MAARUFU NANE NANE KANDA YA MASHARIKI MKOANI MOROGORO: BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA
Tupo hapa kuanzia Agosti 01 hadi 08, 2024.
Kauli Mbiu; "CHAGUA VIONGOZI BORA WA SERIKALI ZA MITAA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI"
#Kaziiendelee
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017