1. Fika ofisi ya Utamaduni kwa ajili ya kupatiwa maelekezo
Viambatanisho Muhimu
2. Nenda ofisi ya cashier kwa ajili ya kuprint bili
3. Kisha nenda bank kwa ajili ya kufanya malipo
4. Rudi kwa cashier kwa ajili ya kupatiwa risit halali
5. Muone Afisa Utamaduni ili akupatie kibali
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017