Mkurugenzi Mtendaji Wilaya MKinga anawakaribisha Wananchi wote katika mkutano wa Baraza la Madiwani kwa Robo ya kwanza Mwaka wa Fedha 2018/2019 litakalofanyika Tarehe 5 na 6 Novemba 2018, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri, kuanzia Saa 4:00 Asubuhi.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 755 443 326
Simu: +255 755 443 326
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017