Pichani ni Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt. Joseph Ligoha aliesimama akielezea kwa undani juu ya masuala mazima yahusuyo Bima ya Afya ya Jamii na Bima ya Afya ya Jamii iliyoborwshwa.
Aidha daktari amesisitiza pia kila mwananchi anapaswa kuwa na hiyo Bima ili iweze kuwasaidia kwa ajili ya kupata matibabu kwa urahisi zaidi kwa kuchangia shilingi elfu 30,000/= kwa kila kaya ambayo wanaweza kupatiwa Matibabu kwa urahisi zaidi.
uzinduzi wa Bima ya Afya iliyobireshwa ulifanyika Katika kata ya Duga iliyoko tarafa ya Mkinga na kuhudhuriwa na Wananchi na Viongozi mbalimbali wa Halmashauri.
Kasera , Tanga-Horohoro Road
Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga
Simu: +255 27 2977200
Simu: +255 684625299
Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Mkinga .Haki zote zimehifadhiwa.