Posted on: February 1st, 2018
Pichani ni Ngo'mbe wanaowekewa alama kwa kutumia Mihuri ya Moto zoezi hili linasimamiwa na kuendeshwa na Idara ya Mifugo limeanza tangu tarehe 27/11/2017 na litaishia rasmi tarehe 28/03/2018 ...
Posted on: July 24th, 2017
Wilaya ya Mkinga ambayo haina hospitali ya Wilaya yenye vituo vitatu vya Afya ambavyo ni Mjesani, Maramba na Kiwegu. Kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea kupata huduma za upasuaji katika Hospitali ...
Posted on: March 28th, 2017
Na Nurudini Stambuli.
Ushirikiano umekuwa mkubwa kati ya Chuo Kikuu cha Purdue na baadhi ya shule za msingi katika Halmashauri ya Mkinga , Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Purdue wakiwa na walimu pamoja...