Pichani Mh. Waziri Luhaga Mpina akihotubia Wananchi Wa Mkinga Kata ya Moa kwenye Mkutano wa Wavuvi na Wafugaji Wilayani Mkinga Aidha waziri Mpina amewaelekeza wavuvi hao juu ya Matumizi bora ya Uvuvi wa Halali na Kuepuka kufanya Uvuvi Haramu kama vile wa kutumia amabomu na kemikali kwani zinamadhara makubwa hasa kwa watumiaji.pia amewambia kuwa kwa kutumia hiyo kunbaweza kupoteza Smaki wote Baharini.
Waziri Mpina pia amewapongeza Wavuvi hao kuwa katika Doria iliyofanywa na wataalamu wa Mifugo kutoka Wizarani hawakamata Wavuvi Haramu ndani ya Halmashauri ya Wilaya Mkinga.
Mh . Waziri Mpina Akisalimiana na Mh. DIwani kata ya Mayomboni Ndg Hassani Dibwe matra baada ya kumaliza kutoa hotuba yake.
Kushoto ni Mh. DC Mkinnga Ndg Yona Maki akimuongoiza Mh. Waziri Mpina kuelekea eneo la uteketezaji wa Nyavu Haramu
Mh. Waziri Mpina akishirikiana na Wananchi wa Moa katika Uteketezaji wa Nyavu Haramu zilizokamatwa Wakati wa Doria.
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 755 443 326
Simu: +255 755 443 326
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017