MKURUGENZI MKINGA AUNGANA NA MHE. RAIS DKT SAMIA KUPANDA MITI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga Ndugu Rashid Gembe ameungana na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Mhe. Kalima katika zoezi la kupanda miti leo Januari 27, 2026 katika ofisi ya Mkuu huyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017