KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI YATAKAYOFANYIKA ENEO LA OFISI YA KATA KIJIJI CHA MKINGA LEO KATA YA MKINGA WILAYA YA MKINGA.
AGOSTI 7, 2024
EWE MWANANCHI KARIBU UPATE ELIMU YA KULINDA, KUIMARISHA NA KUENDELEZA UNYONYESHAJI.
KAULI MBIU: "Ziba Pengo; Saidia Unyonyeshaji kwa Wote"
#kaziiendelee
Kasera, Tanga -HorohoroRoad
Postal Address: P O Box 6005 Tanga
Simu: +255 027-2660501
Simu: +255 684 625 299
Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz
Mkinga dc @ 2017