UTANGULIZI
Idara ya Ujenzi ni mojawapo ya idara katika Halmashauri ya Wilaya, inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria ya uanzishwaji wa serikali za mitaa, Tanzania. Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu tatu,
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo
3.Sehemu ya Mitambo na Umeme
B.MAJUKUMU YA IDARA
1.Kusimamia matengenezo ya majengo yote ya Halmashauri ya Wilaya,
2.Kusimamia matengezo ya magari ya Halmashauri ya Wilaya,
3.Kufanya tathimini ya miundombinu ya barabara za Halmashauri ya Wilaya, Wilaya inafanya makadirio ya gharama za matengenezo
4.Kusimamia wakandarasi wote wanaofanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya,Kilosa
Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu tatu,
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo
3.Sehemu ya Karakana
Kasera , Tanga-Horohoro Road
Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga
Simu: +255 27 2977200
Simu: +255 684625299
Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Mkinga .Haki zote zimehifadhiwa.