• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mkinga District Council
Mkinga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Livestock and Fishary
      • Works and Fire Recure
      • Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ugavi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Legal
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma wa Maji
    • Huduma ya Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Maktaba ya Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Matukio
    • Habari
    • Matukio

Kituo cha Afya Mjesani, Wakabidhiwa Gari la Wagonjwa

Posted on: September 20th, 2019

Pichani kulia ni Mganga Mkuu Wilaya Dr. Joseph Ligoha  akimkabidhi funguo za Gari ya kubebea Wagonjwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mjesani  Dr. Abdallah Hinte Mbele ya Watumishi wa Kituo, 

Aidha Mganga Mkuu amewataka Watumishi Kuthamini na Kutunza Mali za Kituo ili ziweze kudumu kwa Muda Mrefu kwa Manufaa ya Watanzania wote, vilevile amewaeleza watumishi hao kuwa Serikali inatumia Gharama kubwa kuwekeza hasa kwenye Sekta ya Afya ilikusudi Wananchi waweze kupata huduma kwa urahisi.

aidha amewaelekeza kuwa Gari hii itatumika kuwafata Wagonjwa ambao wako mbali na kituo hasa wale ambao hawajiwezi kufika kituoni hapo na Vilevile itatumika kuwapeleka Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa kwa Wagonjwa ambao wameshauriwa Kupatiwa Huduma huko.

Sambamba na hilo Serikali inaendelea kuboresha Majengo kwa kukarabati yale ya zamani na kujenga Miundombinu mipya ya Kituo .

mwisho aliwataka watumishi hao kuendelea kufanya kazi kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu.




Tangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAUR YA WILAYA YA MKINGA December 15, 2020
  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA WALIOOMBA NAFASI ZILIZOTANGAZWA TAREHE 12.10.2020 November 13, 2020
  • TANGAZO LA KAZI September 10, 2017
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Mafunzo ya namna ya kuandikisha wananchi ,ugawaji wa net

    August 04, 2020
  • UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII ILIYOBORESHWA

    October 29, 2019
  • Kituo cha Afya Mjesani Rasmi kutoa huduma ya Upasuaji

    September 20, 2019
  • Kituo cha Afya Mjesani, Wakabidhiwa Gari la Wagonjwa

    September 20, 2019
  • Angalia Zaidi

Video

Kikao cha Wazee wa Maramba na Mhe. Mkuu wa Wilaya ndugu Yona Mark
Angalia zaidi

Kurasa za Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Habari

Kurasa Mashuhuri

  • OR- TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Salary slip portal
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Taifa
  • Wakala ya Serikali Mtandao (eGA)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Kasera , Tanga-Horohoro Road

    Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga

    Simu: +255 27 2977200

    Simu: +255 684625299

    Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Mkinga .Haki zote zimehifadhiwa.