KITENGO CHA TEHAMA
Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano (TEHAMA)
Kitengo cha (TEHAMA) kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kuunganisha kitengo cha Teknolojia ya Habari Mawasiliano na Mahusiano. Kitengo hiki kina watumishi wa kada mbili, Mafisa TEHAMA na Maafisa Habari
Majukumu ya Kitengo
NA.
|
HUDUMA ZITOLEWAZO
|
JINSI ZINAVYOPATIKANA
|
1
|
Kutoa taarifa za robo au mwaka kwa wananchi na wadau wa maendeleo kuhusu masuala yanayogusa jamii.
|
- Tovuti ya Halmashauri (www.mkingadc.go.tz)
- Vipeperushi - Barua pepe - Magazeti, n.k. |
2
|
Kusimamia ufikishwaji wa huduma za mawasiliano kwa wananchi
|
- kampuni za mawasiliano ya simu
|
3
|
Kusaidia jamii kuwa na weledi wa masuala ya mitandao na kuweza kujilinda dhidi ya mashambulizi.
|
- Tovuti ya Halmashauri
- Vipeperushi - Semina na warsha. |
4
|
Kutathimini na kusimamia viashiria vya hatari kuhusiana na miundombinu na mifumo ya TEHAMA
|
- Kuwasiliana na wataalam wa TEHAMA waliopo Halmashauri.
|
5
|
Kutoa miongozo kwa wananchi kuhusu mabadiliko ya njia za utoaji huduma mbalimbali za kielektroniki.
|
- Tovuti ya Halmashauri
- Matangazo - Vipeperushi na semina. |
6
|
Kusimamia mifumo ya kielektroniki ya usimamizi wa fedha na ukusanyaji mapato ya ndani, takwimu, n.k.
|
- Benki
- Mitandao ya Epicor, LGRCiS, BEMIS, HCMIS - Mtandao wa intaneti |
7
|
Kufanya usimikaji na uhuishaji wa programu za kompyuta, na matengenezo ya vifaa vya TEHAMA.
|
- Kufika Kitengo cha TEHAMA
- Kuwasiliana na wataalam wa TEHAMA kwa simu au barua pepe. |
8
|
Kutoa ushauri kuhusu matumizi ya vifaa vya TEHAMA.
|
- Kufika Kitengo cha TEHAMA
- Kuwasiliana na wataalam wa TEHAMA kwa simu au barua pepe. |
Pata Taarifa zinazohusiana na TEHAMA kwa kufuata viunganishi (link) hapa chini
Sera Ya Utangazaji Wa Habari
Mwongozo Wa Matumizi Bora Ya Tehama
Kitini Cha Mafunzo Ya Uandishi Wa Tovuti
Orodha za namba za simu kwa ofisi zilizo kwenye mfumo wa Mawasiliano wa Serikali (GovNet)
Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa TEHAMA wa wilaya ya Mkinga Bw. Ibrahim Hassan Maumba -
Simu: +255 (0)717 834 540
barua pepe: ibrahim.maumba@mkingadc.go.tz
Kasera , Tanga-Horohoro Road
Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga
Simu: +255 27 2977200
Simu: +255 684625299
Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Mkinga .Haki zote zimehifadhiwa.